kama huna cha kuandika si lazima uje hapa na kuandika chochote, kaa kimyaKatika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja.
Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali haiwezekani tena kuwa na taifa lao tofauti na Israel na wakataka kuwa sehemu ya Israel?
Itakuaje wakitaka kuwa raia kamili wa Israel na watambulike rasmi kama raia wa Israel wenye haki zote za taifa la Israel?
Wewe tafakari tu kwa nn hata waarabu wenyewe wanaishia kutoa matamko tu...na hakuna kinachobadilikaSasa watakuwa wanaendelea kupigana na kuuana hivyo mpaka lini??
Misri ni suala lingine kwa sababu kule wanaenda kama wakimbizi na kila taifa lina sera zake za kudhibiti uhamiaji ila hapo walipo sasa hivi ni ardhi yao inagombaniwa na hawatambuliki rasmi kama taifa ila wako chini ya udhibiti wa Israel, sasa kwa nini wasiamu tu pote pawe Israel na wao wawe raia kamili wa Israel??Hata Egypt tu hawezi kukubali wa Palestine wavuke mpaka wa Philadelphia kule Rafar waingie Egypt wawe wakimbizi. Sembuse Israel kuungana na Palestine kuwa taifa moja!!!!!
Waarabu ambao wapo Israel sasa hivi wanabaguliwa, asilimia 20% ya Waisrael ni waarabu, in short hapo mpaka damu imwagike sana ndio respect itapatikana.Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja.
Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali haiwezekani tena kuwa na taifa lao tofauti na Israel na wakataka kuwa sehemu ya Israel?
Itakuaje wakitaka kuwa raia kamili wa Israel na watambulike rasmi kama raia wa Israel wenye haki zote za taifa la Israel?
Nielewe vyema ndugu yangu haiwezekani kabsaMisri ni suala lingine kwa sababu kule wanaenda kama wakimbizi na kila taifa lina sera zake za kudhibiti uhamiaji ila hapo walipo sasa hivi ni ardhi yao inagombaniwa na hawatambuliki rasmi kama taifa ila wako chini ya udhibiti wa Israel, sasa kwa nini wasiamu tu pote pawe Israel na wao wawe raia kamili wa Israel??
Kwanini chadema hawataki kuwa wanachama wa ccm tu?Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja.
Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali haiwezekani tena kuwa na taifa lao tofauti na Israel na wakataka kuwa sehemu ya Israel?
Itakuaje wakitaka kuwa raia kamili wa Israel na watambulike rasmi kama raia wa Israel wenye haki zote za taifa la Israel?
Wapalestina wapo Nchi zote za Kiarabu, hii ni myth ya kijinga inayosambazwa na watu wenye Allergy na kusoma Data.Hata Egypt tu hawezi kukubali wa Palestine wavuke mpaka wa Philadelphia kule Rafar waingie Egypt wawe wakimbizi. Sembuse Israel kuungana na Palestine kuwa taifa moja!!!!!
Sijakataa! Wapo hata west na America...! Walienda huku sio kwa namna ambayo nimeieleza kuhusu EgyptWapalestina wapo Nchi zote za Kiarabu, hii ni myth ya kijinga inayosambazwa na watu wenye Allergy na kusoma Data.
Egpty kuna wapalestina zaidi ya laki 1.
Soma hapa kuona Population ya wapalestina nchi mbalimbali
Huu utakuwa uongo mtupu na propoganda tu, hatujawahi kusikia raia Waarabu wa Israel wakilalamika kwamba wanabaguliwa au wamefanywa kuwa raia wa daraja la pili. Bunge la Israel pia lina limekuwa na wabunge waarabu tangu Israel iwe taifa mpake leo hii.Waarabu ambao wapo Israel sasa hivi wanabaguliwa, asilimia 20% ya Waisrael ni waarabu, in short hapo mpaka damu imwagike sana ndio respect itapatikana.
Mifano ya ubaguzi
1. Wanawatenga waarabu Hospitali
Israeli hospitals admit to segregating Jewish and Arab women at maternity wards
Three Israeli hospitals have admitted for the first time that they segregate Jewish and Arab women giving birth, at the women's request. In response to a lawsuit filed against four...www.middleeastmonitor.com
2. Waarabu wengi hasa wakristo wakipita mitaani wanatemewa mate
3. Shule zao ni tofauti most of time hawaruhusiwi kusoma na wayahudi
4. Wana passport na vitambulisho tofauti ambavyo habiwapi access ya vitu vyote kwenye nchi
Long story short waarabu Israel ni second Citizens,
Nimeweka link nayo ni propaganda? Nakuekea link hapa za kutosha na wewe unaweza weka link kuthibitisha?Huu utakuwa uongo mtupu na propoganda tu, hatujawahi kusikia raia Waarabu wa Israel wakilalamika kwamba wanabaguliwa au wamefanywa kuwa raia wa daraja la pili. Bunge la Israel pia lina limekuwa na wabunge waarabu tangu Israel iwe taifa mpake leo hii.