Kwanini Wapangaji Tulipe Witholding Tax Wakati Tunatakiwa Kukata Kutoka Kwenye Kodi Ya Pango

Funga biashara nenda kalime .huku kwenye kilomo hatuna hizo kodi zenu za ajabu ajabu.yaani TRA wanaua biashara za watu.
Tutapanga bei ya mazao yaani unga urashuka bei kuliko mbaazi , itakua tsh 100 kwa gunia na ni marufuku kuuza nje ya nchi labda uwe mwenzetu
 
Uko sahihi kabisa,
Kama Ye huchukua 600,000 kwa mwezi ukianza kumwambia mambo ya WHT atakuambia basi kapandisha mpaka 650,000/= ila hiyo 50,000 kata peleka TRA kisha 600,000 inayobaki mpe yeye, of which mtarudi pale pale tu kwa mwanzo.

Ilifaa uweke utaratibu utakaoeleweka na wenye nyumba wote iwe inajulikana kabisa
 
Mkuu hii kitu bado ni tatizo labda uchakachue mkataba lakini kuna baadhi ya maeneo TRA wana rate zao so ukiandika kwa mwezi kodi ni Laki 2 wanakwambia pale mtaa wa aggrey hakuna frame ya bei hiyo. Tunajua pale ni M1 hadi 1.5. TRA wanajua hili lakini wameshindwa kutusaidia kwa hawa mabosi wenye nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…