wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Nakuja unikope [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si kuteseka tu na kufirisika pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja unikope [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si kuteseka tu na kufirisika pia
Tutapanga bei ya mazao yaani unga urashuka bei kuliko mbaazi , itakua tsh 100 kwa gunia na ni marufuku kuuza nje ya nchi labda uwe mwenzetuFunga biashara nenda kalime .huku kwenye kilomo hatuna hizo kodi zenu za ajabu ajabu.yaani TRA wanaua biashara za watu.
Uko sahihi kabisa,Mkuu nimekuelewa sana ila tatizo ni hawa Landlords kama kodi yake kwa mwezi ni laki sita yeye anataka M7.2 kwa mwaka sasa ukianza kumwambia mambo ya witholding tax anageuka mbogo na atakwambia tu kama umeshindwa acha. Nadhani itegenezwe namna ya kuwabana hawa watu la sivyo wanatuachia mzigo mkubwa sana.
Mkuu hii kitu bado ni tatizo labda uchakachue mkataba lakini kuna baadhi ya maeneo TRA wana rate zao so ukiandika kwa mwezi kodi ni Laki 2 wanakwambia pale mtaa wa aggrey hakuna frame ya bei hiyo. Tunajua pale ni M1 hadi 1.5. TRA wanajua hili lakini wameshindwa kutusaidia kwa hawa mabosi wenye nyumba.Uko sahihi kabisa,
Kama Ye huchukua 600,000 kwa mwezi ukianza kumwambia mambo ya WHT atakuambia basi kapandisha mpaka 650,000/= ila hiyo 50,000 kata peleka TRA kisha 600,000 inayobaki mpe yeye, og which mtarudi pale pale tu kwa mwanzo.
Ilifaa uweke utaratibu utakaoeleweka na wenye nyumba wote iwe inajulikana kabisa