Kwanini Wapare ni wabahili wa kutunza pesa lakini pesa wanayoibana hawapendi kuiwekeza izae zaidi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza.

Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia.

Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza kichwa kupambana kwenye biashara na kuzipanua.

Mji wa Moshi wapare ndio watu wa mwanzo kuingia pale mjini lakini mpaka leo ndio kabila limebakia nyuma.

Wachaga wametoka milimani huko Rombo, Tarakaea, Marangu, Kilema na Kibosho wamekuja kuitawala mji wa Moshi kibiashara.

Hata mji wa Himo ambao nao umeshamiri wapare hakuna Cha maana wanachofanya zaidi ya kula mirungi na kuwa madalali wa mabasi pale stendi.

Hata hao waliobahatika kufungua vibiashara havikui viko pale pale miaka nenda miaka Rudi.....hamuamini hata mkewe kwenye duka lake na yeye akifa anakufa na biashara yake.

Miji waliyojaa wapare ndio imekuwa kitovu na alama ya umaskini wa mwili na akili kwa mkoa wa Kilimanjaro......anzia hedaru, Makanya, Same, Mwanga, Gonja mpaka Usangi....kote huko kumepauka.....ukiingia Kona ya kuelekea Himo Mandhari yake tu yanakuonyesha kuwa umeingia eneo la watu wanaojua wanafanya nini maishani mwao.
 
unaongelea wapare wap hawa kina kilenga mbereseso mringo, ngowo au? wapare ni matajiri kuliko umavyodhan hauwajui kina msangi ma msuya kumbe?
 
hao ni wachache sana katika general population ya wapare, hata wafipa, wangoni, wamakonde, nwasafwaa nakko kuna matajiri lakini idadi hio haiwezi kuwa perceived ku reflect general population
 
Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza.

Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia.

Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza kichwa kupambana kwenye biashara na kuzipanua.

Mji wa Moshi wapare ndio watu wa mwanzo kuingia pale mjini lakini mpaka leo ndio kabila limebakia nyuma.

Wachaga wametoka milimani huko Rombo, Tarakaea, Marangu, Kilema na Kibosho wamekuja kuitawala mji wa Moshi kibiashara.

Hata mji wa Himo ambao nao umeshamiri wapare hakuna Cha maana wanachofanya zaidi ya kula mirungi na kuwa madalali wa mabasi pale stendi.

Hata hao waliobahatika kufungua vibiashara havikui viko pale pale miaka nenda miaka Rudi.....hamuamini hata mkewe kwenye duka lake na yeye akifa anakufa na biashara yake.

Miji waliyojaa wapare ndio imekuwa kitovu na alama ya umaskini wa mwili na akili kwa mkoa wa Kilimanjaro......anzia hedaru, Makanya, Same, Mwanga, Gonja mpaka Usangi....kote huko kumepauka.....ukiingia Kona ya kuelekea Himo Mandhari yake tu yanakuonyesha kuwa umeingia eneo la watu wanaojua wanafanya nini maishani mwao.
Kwahyo wapare ndio wamefanya tz kuwa maskini?

kwahyo kule lindi,Mtwara,Pwani wale wote ni matajiri kwa sababu hakuna wapare wengi?

Kwanini unataka kuwapangia watu namna ya kutumia fedha zao?

Tumia mdomo na macho yako kuangalia na kusema ukweli.
 
Mji wa moshi kumbe wapare ndio wa kwanza kuingia? Hii historia ilinipita, hata hivyo sisi tunatoka milimani huko, tunalima mahindi na maharage ili tule "mpure"(makande) hatutaki zaidi ya hapo. Panda milimani huko Chome, Vudee, Suji, Mamba nk naamini utapapenda sana. Huko tambarare tumewaachia nyie mgombane na wachagga
 
Kwahyo ndo umekuja kutuanika huku Kwamba tunakula Samaki wa picha na makande? Wapare wana mayadi ya mafuso uliza wewe kutupaka matope kabati la pheho.Utonge thame ukaone ikithanga.Utonge kiete ukadhore madio.Mburi mbaha ni kumuariria.....
 
Kuna ukweli hapa japo mtabisha

Anzia hedaru makanya same had mwanga

Halafu njoo himo uchira had kiboriloni utaona Kuna utofaut hata ujenz muonekano wa miji tajwa

Labda Mshana Jr atachangia kututoa tongotongo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa utakuwa mchaga ww sio bure unavyowapaisha wachaga sasa wakati wengi hamna kitu wiziwizi tu[emoji41]
 
Back
Top Bottom