Unknown philosopher
Member
- Sep 3, 2022
- 40
- 90
Penzi kunoga ni hatari sana yaani anachofanya mwenzio unaona yupo sawa tu hakosei.Habar wana jamii huwa nashindwa kuelewa kwa nn unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.
Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha?
Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
Its simpleHabar wana jamii huwa nashindwa kuelewa kwa nn unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.
Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha?
Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
Acha uongoIts simple
Unaporekodi unakuwa kwenye penzi zito kiasi huwezi kufikira kama mtakuja kuqchana
Kwanza unahisi he/she’s the one hamna kitu atafanya kunidhuru so unajiachia
Maah btw nina za ex wangu mmoja hapa huwa nazitazama nikimkumbuka
Though sijawahi fikiria kuzipost coz namheshimu sana akidhalilika yeye ni kama nimedhalilika mimi
Itunze sana hiyo simuIts simple

Its simple

Swez kufanya ujnga huo kamweHabari wana jamii.
Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.