Kwanini wapenzi wanapiga picha waki-do?

defensive mechanism, pili ulimbuken
 

watu wa hivi inakuwaga raha sana pale simu/camera wanazopigia picha zinapoibiwa/kupotea.... good deal kwa magazeti ya udaku
 
Wengi wao hawajui nini wanachofanya, huwa wanaiga kila kinachofanywa na wazungu. Ni ujinga.
 
si vyema maana simu, kamera au computer waliotumia kupiga picha ikiibiwa inakuwa imekula kwao, watajikuta kwenye udaku news
 
Hapa huwa sielewi, kama wawili wanado, wanawezaje kujipiga picha?au anakuwepo mtu wa tatu kuwapiga?au .........
 
hiyo ni kuandaa mazingira wakimwagana wachafuane


umesema kweli mkuu! na sijui kwanini wanafika kipindi hadi wanakubali kupigana picha.. ama kweli mapenzi ni upofu
 
kunakitu wadhungu wanaita video match analysis...sasa mara nyingi ili kusahihisha technical problems inabidi upate second look....hivyo kukusaidia ku-enhance performance next tym....plus sio mbaya kuangalia how u wer nailing it!!!!!!!!!!
 
sasa ujikumbushe uko peke yako?
Mashetani yakija?
Utaja jibaka bure!

Sometimes huyo mtu hayupo karibu yako,
au mahusiano yamebadilika but unataka kukumbuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…