Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Mbona ukienda beach unapiga picha? si ili baadae ukumbuke ulivo furahia kwenda beach? Basi na hapo ni hivo hivo...
Kweli Mwasi, ila mkitemana zinaishia kwenye blog za ajabu ajabu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ukienda beach unapiga picha? si ili baadae ukumbuke ulivo furahia kwenda beach? Basi na hapo ni hivo hivo...
Sometimes huyo mtu hayupo karibu yako,
au mahusiano yamebadilika but unataka kukumbuka tu.
Hizo ni risk sawa na risk zingine zzote za mapenzi.Kweli Mwasi, ila mkitemana zinaishia kwenye blog za ajabu ajabu.....
Sijui. mi sijawahi kupiga, nimewanukuu wanao piga.Utazitunza wapi?
Nimeona thred ya mdau akilalamika katumiwa picha za mpenzi wake aki-do na X wake. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu kwa nini wapenzi hufikia point ya kupiga picha wanapo-do nimeshindwa kupata sababu. Hebu mnaojua mnijuze na mie, am ignorant in this part.
ni ulimbukeni na utoto huo konny, wakikuwa wataacha!