Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Kwa Hali iliyopo sasa mnapambana na ELNINO na Hadi ratiba zenu mmebadilisha kuanzia kufanya mtihani Hadi tarehe za kufunga shule
Je Kwa Nini hamkatazi Haya mashule binafsi wanaolazimisha kupeleka watoto PRE FORM ONE? Je wao wako juu ya taratibu zilizowekwa au wao ELNINO HAIWAHUSU
hamuoni wazazi wataingia tu gharama Kwa uroho wa mashule kutaka Hela wakati Kuna hatari ya mvua mbeleni?