Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Sio tuache ujinga hapa Kuna shule watoto wanalazmishwa pre form one bila hivyo hakuna safari ya form one kwaoUnalazimishwa vipi kupeleka mtoto pre form one? Hakuna shule itakuja kumchukua mwanao nyumbani eti akasome pre form one, pia mtoto hawezi kukosa shule ya sekondary eti kisa hajasoma pre form one. Wazazi tuache ujinga.
Kwamba ni lazima mtoto umpeleke hiyo shule asome sekondary? Kama ni mazingira(ukaribu) au gharama ndio inafanya iwe hivyo hapo sawa, la sivyo shule zipo nyingi sana zinapokea watoto bila hiyo pre form one.Sio tuache ujinga hapa Kuna shule watoto wanalazmishwa pre form one bila hivyo hakuna safari ya form one kwao