Kwanini warangi hawana sauti nzito ? Kwanini warangi wote sauti zao nyembamba

Tafiti yako kama ina kaukweli ndani yake...nimeishi na warangi wengi sana kule Haubi, Aneti, Uru na pale Kondoa mjini wengi sijawahi kusikia sauti ya kukoroma labda kwa wageni tu
Nadhani rafudhi ya lunga yao inachangia sana maana huwa wanaongea kama wanalalamika hivi kumbe ndo wanawasiliana kawaida tu.
 
Nahisi kwenye kolomelo zao hakuna vocal mastering [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwasababu wanapenda kula mayai mabichi kama nyoka.
 
Warangi wazr sana hasa ke, pia mama huruma wanatoa tu mzgo bila hata kubania! Wamebarkiwa na vingi!
 
Warangi wazr sana hasa ke, pia mama huruma wanatoa tu mzgo bila hata kubania! Wamebarkiwa na vingi!
 
Utafiti hauna majibu! Utafiti ufanane na wa makinikia
 


Kwa sababu wanaendekeza sana ushoga na kula mizizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…