Kwanini warangi hawana sauti nzito ? Kwanini warangi wote sauti zao nyembamba

πŸ˜΅πŸ™„πŸ˜³πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜ŽπŸ˜•πŸ˜‘πŸ™πŸ˜‰πŸ™‚ Duh! Wewe kiboko, yaani umeshakutana na Warangi wote!..
 
Warangi wanaongea tone ya juu aka sauti ya kwanza, so, mara chache sana kuwakuta wana sauti nzito.... inawezekana inaishia sauti ya pili katika mpangilio wa tone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…