Kwanini warangi hawana sauti nzito ? Kwanini warangi wote sauti zao nyembamba

Kwanini warangi hawana sauti nzito ? Kwanini warangi wote sauti zao nyembamba

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base
Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo

Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii wawe na sauti nyembamba ,hakuna mrangi mwenye sauti nziti utafiti huu ni zaidi ya prof Mruma na ya Osoro.

Ni kwanini ?
😵🙄😳😱😀😛😎😕😡🙁😉🙂 Duh! Wewe kiboko, yaani umeshakutana na Warangi wote!..
 
Warangi wanaongea tone ya juu aka sauti ya kwanza, so, mara chache sana kuwakuta wana sauti nzito.... inawezekana inaishia sauti ya pili katika mpangilio wa tone
 
Back
Top Bottom