Kwanini warangi hawana sauti nzito ? Kwanini warangi wote sauti zao nyembamba

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base

Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo

Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii wawe na sauti nyembamba ,hakuna mrangi mwenye sauti nziti utafiti huu ni zaidi ya prof Mruma na ya Osoro.

Ni kwanini ?
 
Wewe ni k/me
 
Siku ingine leta thread zenye mafanikio na tija kwa jamii, usilete thread za kama mtu alokula ugoro
 
wale jamaa nao wamezidi kutafuna yale majani yanayolimwa katikati mwa nchi ya kenya.

machalii wa kirangi hujiona wajanja kutafuna majani yale.
 
Back
Top Bottom