cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
umamtazamo tofauti sana ktk tasnia hii utakua hujui muzikiNilifikiri standards alizoweka Diamond ndo zinatakiwa kuigwa na kila msanii.
yaani waanzie alipo Diamond halafu ndo waongeze ya kwao
cha kushangaza unakuta msanii...yuko yuko tu
hakuna dancers,hakuna mavazi maalum
hakuna mbwembwe ya aina yoyote
yaani bado kuna wasanii wanawaficha hata wapenzi wao
nilifikiri Diamond kawaonesha namna ya kuwa star...watajifunza but wapi..
Tatizo liko wapi?
sio lazima wasanii wote wawe na dancers sio lazima wasanii wote wavae kisharobaro, sio lazima kua kama Diamond ili kutoboa kimataifa
Wizi Kid techno Davido hawafanani kwa lolote na Diamond ila niwasanii wakubwa
soDiamond amepitia njia yake na kuna njia nyingi kama 1000 za kupita ili kua msanii mkubwa
Ali Kiba,Vanessa Mdee na Navy Kenzo wanaweza kufika mbali sana hata zaidi ya Diamond wakiwekajitihada kwa namna zao.
I support Diamond ila sijapenda mtazamo wako ktk hili