Niliwahi kuwa na tatizo la kuongea bila kujua wapi ninyamaze hadi nilipokutana na wacanada wawili ndo nkajua kumbe maongezi ni kama kuimba vile hivyo kupokezana ni muhimu.Usiwalaumu wasanii.
Tanzania kuanzia eminent people wanaotambuliwa dunia nzima kina John Samwel Malecela, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli hawajui kujieleza.
Kikwete aliulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Alichojibu ni aibu.
Afadhali kidogo ukiwasikiliza watu kama Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi na Rais Mkapa unaona hawa watu wanaweza kujieleza. Kwa kiwango cha Watanzania.
Yani unaweza kumsikiliza mchezajibwa mpira tu Marekani NBA au NFL, anaulizwa maswali kuhusu michezo, anajieleza vizuri kuliko rais wa Tanzania.
Tuna tabia hizi katika kujieleza.
1. Kutomalizia sentensi au mawazo. Ni kama tuna assume mtu atajazia tu, atajua tu.
2.Kutoelezea habari kutoka msingi wa habari. Mtu anaaanza kuelezea habari juu juu kama vike kila mtu anaijua
3. Kutotamka maneno kwa usawia.
4. Kutoweza kuunganisha na kunyambulisha dhana tofauti.
5. Kujipinga katika maneno, bila kujua.
Kuweza kujieleza vizuri ni alama ya usimi na kujua kuunganisha mambo mengi vizuri.
Uwezo huu ni mzigo kwa Watanzania wengi.
Niliwahi kusoma makala fulani ya kiutafiti inasema kuwa, watoto wanapochapwa viboko mashuleni na manyumbani, inawafanya kupoteza au kudhoofisha uwezo wao wa kuzungumza lugha!Usiwalaumu wasanii.