CABANA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 420
- 556
Habari wanajamii.
Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela tu kitaa hajui kama anaongea na East Africa nzima.
Hata Diamond huwa ana huo ugonjwa, yaani anashindwa kabisa kuwa na confidence mbele ya waandishi au kituo cha redio wakati wakiwa jukwaani ni wenye nguvu na wanajieleza vizuri.
Nawasilisha.