Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Kivumishi Kielezi,
😔😔😔
😔😔😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwalaumu wasanii.
Tanzania kuanzia eminent people wanaotambuliwa dunia nzima kina John Samwel Malecela, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli hawajui kujieleza.
Kikwete aliulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania ni nchi masikini? Alichojibu ni aibu.
Afadhali kidogo ukiwasikiliza watu kama Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi na Rais Mkapa unaona hawa watu wanaweza kujieleza. Kwa kiwango cha Watanzania.
Yani unaweza kumsikiliza mchezajibwa mpira tu Marekani NBA au NFL, anaulizwa maswali kuhusu michezo, anajieleza vizuri kuliko rais wa Tanzania.
Tuna tabia hizi katika kujieleza.
1. Kutomalizia sentensi au mawazo. Ni kama tuna assume mtu atajazia tu, atajua tu.
2.Kutoelezea habari kutoka msingi wa habari. Mtu anaaanza kuelezea habari juu juu kama vike kila mtu anaijua
3. Kutotamka maneno kwa usawia.
4. Kutoweza kuunganisha na kunyambulisha dhana tofauti.
5. Kujipinga katika maneno, bila kujua.
Kuweza kujieleza vizuri ni alama ya usimi na kujua kuunganisha mambo mengi vizuri.
Uwezo huu ni mzigo kwa Watanzania wengi.
Hotuba za Magufuli nimeacha kuangalia/kusikiliza kitambo sana.Labda nipate dondoo tu.Vilevile kusoma vitabu....
Kiongozi asiyesoma vitabu hata kujieleza na kujibu hoja mbalimbali utashangaa anavyopwaya....
Angalia Magufuli, jinsi hata kujieleza kwa Kiswahili ilivyo shida.
Yani akiongea mpaka mwenyewe ndio unaogopa asikosee huku ukijawa na wasiwasi mkubwa kuwa lazima atachapia au kuvuruga.
Lkn ukiona jinsi Zitto na Lissu wanavyojieleza na kupangua hoja unajua hawa watu wanasoma/kujisomea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] aisee nimechekaKiba anajua kujieleza sema hataki kujionyesha.
Mara nyingi matatizo katika kujieleza yanaonesha matatizo katika kufikiri.nifanye nini nisiwe na yote haya??
Hili tatizo tunalo sana.Niliwahi kuwa na tatizo la kuongea bila kujua wapi ninyamaze hadi nilipokutana na wacanada wawili ndo nkajua kumbe maongezi ni kama kuimba vile hivyo kupokezana ni muhimu.
Conversation is an art.
Self expression.Kwan kujieleza ni nin?
Then kila mtu anaweza kujieleza.....(kwa mujibu wa maelezo yako haya)Self expression.
Kutoa habari zako, zinazohusiana nawe au na mambo yaliyo karibu nawe.
Tatizo si kujieleza tu. Hata ng'ombe anajieleza.Then kila mtu anaweza kujieleza.....(kwa mujibu wa maelezo yako haya)