Kwanini wasanii wa bongo ni masikini sana wasio na usafiri wala nyumba

Kwanini wasanii wa bongo ni masikini sana wasio na usafiri wala nyumba

Aman itamalaki

Ukienda uganda utakuta wasanii ni watu matajali sana wanaomiliki vitega uchumi, magari na majumba

Ukienda kenya utakuta pia wasanii ni matajiri wanaomiliki nyumba na magari na vitega uchumi

Ukienda nigeria ndo usiseme

Cha kushangaza pia ukienda usukumani wasanii wake kama akina budagala, mwana itule, mwana jinasa na wengine wengj ni matajiri sana wanaomiliki mang'ombe, mashamba makubwa, wamejenga na wanamiliki wake zaidi ya watano watano na kuendelea pia wengine wana magari


Sasa kwanini wasanii wa bongo fleva ni masikin sana ambao hawana chochote hawana mademu, hawana nyumba wala magari wala vitega uchumi wanakaa kwenye magheto ya kupanga na kwa wajomba zao na kwa mashangazi zao

Shida nini aisee



Mayala B
usanii kitu kimoja, umaarufu kitu kingine, kipaji kitu kingine, akili kitu kingine, bahati ya kuoendwa na watu wawe tayari kununua tiketi zako ni ishu ingine

usanii ni kazi kama kaz nyengine, ambao kuna wanaopanda vyeo na kufanikwa na wengine upepo huwaendea vibaya na kufeli maisha

uonapo kina diamond insta wanang'aa ule sii usanii, usanii ni mgumu kuliko vile lile la insta ni kasha la juu tu, ila kufight na kipaji chako hadi mashabiki wakupende hiyo ndio sanaa sasa
 
Back
Top Bottom