Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

kwanini msinywee pombe hukohuko kanisani? au hakuna wauza km? masista siwapo lakini? au nimali yamatowashi? ukatoliki sio dini....nikikundi chawalevi
 
kwanini msinywee pombe hukohuko kanisani? au hakuna wauza km? masista siwapo lakini? au nimali yamatowashi? ukatoliki sio dini....nikikundi chawalevi
 
huyo ulie mtag ni sista au?
 
Hiyo dini ina Boko Haramu, Al Shabab, Al Qaeda na Islamic state. Wakifanya hivyo wanauliwa muda wowote
 
Namshauri aongeze na kipande Cha Sheikh akiwa kashaoa wake wanne na Bado ana michepuko ya kutosha ili kuweka mizani sawa.
Mdanganye kama kesho haujakutwa mwili wake hauna uhai. Hiyo dini kuua mtu hawaoni shida.
Unaijua mahakama ya kadhi?
 
Ata tunda Man, stan bakora siku ya Simba day wakafanya mzaha na Dini ya kikristu na basata,BMT wote walikuwepo yaan mambo ya ovyo ovyo tu


Mbona huko znz unasikia ustadhi kalawiti mbona hakiwataja pumbavu sana yule msanii Dulla
 
Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tam

Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
Walio siriaz na hii dini wala hawaangaliagi hizo vitu,au wakiona pia hawawezi fanya action yoyote kidunia,wale huwa kiroho zaidi.
 
ngamia ndio mnyama namba moja kwa usafi.ngamia sio najisi.ukila ngamia unapata thawab.ukila kitimoto unapata zambiiii.ukiristo sio dini.
Kama ni dhambi mbona Allah alisema ukiwa na njaa Kali kula kitimoto , Allah haelewi ni dhambi au lah
 
Wakristo ndo wana ruhusu huu upuuzi wa kuchezewa dini yao upande wa pili sasa hivi chamoto angekuwa amesha kipata.
Dini haitetewi, Mungu hatetewi pia.
Tunaamini Mungu ndiye mtetezi wetu, sisi hatuna nguvu wala uwezo wa kumtetea Mungu.
 
Hatuenendi kwa mwili bali kwa roho. Tunamwabudu Mungu katita Roho na kweli. Hawa wenzetu kwa kuwa wako kimwili zaidi ndio maana ukiwasema kidogo tu wanakuua au kukuchomea nyumba.
Wenyewe wanasema 'wanamtetea' mungu wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…