Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kwani masheikh kama hao hawapo? Kwanini asiwatumie kama mfano!? Zingatia Dullaj ni "mwislamu" hivyo angekuwa details za ndani kabisa kuhusu masheikh.Sikupenda tu cast ya alieigiza kama pastor kuwa kama na kakiduku kichwani ila context ya mashairi aliyotumia sikuona shida maana pastors kama hao wapo na hata kwenye nyimbo za gospel wanaimbwa