Kwanini wasanii wa kike hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu ndani ya ndoa?

Kwanini wasanii wa kike hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu ndani ya ndoa?

Unajua wakati mwingine uzoefu wa maisha usipokuwa makini waweza kukufnya uonekane kuwa punguani hasa hasa maeneo ya watu waliostaarabika.

Katika JF ukikuta ID ni ya zamani mfano 2006 unatarajia kupata maoni yenye busara, maana inasemwa kuwa waliokuwepo wakati wa Jambo forum walikuwa wanashusha pweiti za kutosha za kuwa zindua watanzania kutoka fikra mgando kwa staha ya hali ya juu. Lakini inashangaza sana NN mbali na uzoefu wote huu wa kushiriki hapa JF (posts 49 961) bado anaendelea kubadilika kifikra kutoka mbaya kwenda mbaya sana hasa linapokuja suala la utumiaji wa lugha ya kiuungwana.

Ndiyo maana nasema uzoefu wa maisha ya maeneo fulani unaweza kukufanya uonekane punguani maeneo mengine. Eneo analoishi NN linaweza kuwa na mchango mkubwa kwenye kuharibu uwasilishaji wa kistaarabu wa hoja zake hapa JF.

Umeongea kitu cha maana sana.Ngoja ninyamaze nisijepigwa 'mawe' mie!
 
Umeongea kitu cha maana sana.Ngoja ninyamaze nisijepigwa 'mawe' mie!
Kweli pisha mbali, hakawii...kuwekea ngeu ya jiwe usoni huyo...mimi nimeishapopolewa, bahati nzuri nipo kwenye nyumba ya pango la mawe yaliyowashinda wapasua mawe..
 
huyu nn ni mtata kama nini .... Yeye hoja zake ni ngumi mkononi , ustaarabu kwake ni nadra sana ....hiyo hongera kaitoa kwa kejeli kwa nina uhakika hajui kama wewe( lukelo sakafu ) ni mwanaume ama mwanamke. Hivyo hakutakiwa kutumia neno mumeo hapo.

kweli ila kajibu vile kwa sababu hii topic imemugusa penyewe ndo kamind
 
Last edited by a moderator:
Achana na MWEZI MCHANGA.

kweli ila kajibu vile kwa sababu hii topic imemugusa penyewe ndo kamind

Achana na huyo mjuaje wa kila kitu.

Kweli imebidi niachane, maana kwa hasira alizokuwa nazo kisa nimeshauri atumie lugha ya staha jamvini kaamua kupukutisha JF Reputation zangu chini ya sifuri...! Ushahidi huu hapa chini...!

NN.jpg

cc: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom