The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
Samahani hapo juu umeandikaje?? [emoji6] [emoji6] kizungu chako kitamuFor more clarification hata kapicha sio mbaya
Niruhusu tu nitatua na helcopter ya Gwajima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi uko?
Asante sana kwa kisindikizioHuyu alisingizia kabakwa akapata mimba kumbe ni kitambi tuView attachment 475204
Hahaha! Unakuta mdada ana kitambi mpaka unajiuliza anaweza iona papuchi yake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wa siku hizi wana vitambi, nashindwa kutofautisha na mimba [emoji19] [emoji19]
Utata ndio unapoanzia hapo!!! Kaaazi kweli kweli..Jamani wadada Jaribuni kufanya matizi ( mazoezi) ni muhimu sana....Huwa navutiwa sana na wadada wafanya mazoez na wenye matumbo yaliyojengeka kimazoeziHahaha! Unakuta mdada ana kitambi mpaka unajiuliza anaweza iona papuchi yake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu cha sit-ups 1000 kila asubuhi na squats 100... Unakuaje mtamuuu! Mazoezi raha sanaUtata ndio unapoanzia hapo!!! Kaaazi kweli kweli..Jamani wadada Jaribuni kufanya matizi ( mazoezi) ni muhimu sana....Huwa navutiwa sana na wadada wafanya mazoez na wenye matumbo yaliyojengeka kimazoezi
[emoji39] [emoji39] [emoji39] I wish nipate mwanamke wa Aina hiyo aisee....Kitu cha sit-ups 1000 kila asubuhi na squats 100... Unakuaje mtamuuu! Mazoezi raha sana
Kwa nijuavyo mimi Wengine Mungu kawajaalia....Mi nauliza swali jmn hivi hawa wasanii wetu wa kike ndio kusema Mungu kawapendelea au???
Maana karibia wote wanashep hawana matumbo mpaka nashangaa au kuna vitu wanatumia hawa
Mi ntakukalia mgongoni akati unapiga push-ups[emoji39] [emoji39] [emoji39] I wish nipate mwanamke wa Aina hiyo aisee....
[HASHTAG]#SwaliLaKizushi[/HASHTAG]; Are u 1 of 'em??
Nisipopiga tizi siku tatu mfululizo naumwa kabisa!!![emoji39] [emoji39] [emoji39] I wish nipate mwanamke wa Aina hiyo aisee....
[HASHTAG]#SwaliLaKizushi[/HASHTAG]; Are u 1 of 'em??
Unakuta papuchi imejificha kama dhahabuHahaha! Unakuta mdada ana kitambi mpaka unajiuliza anaweza iona papuchi yake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee Hongera yako...nahisi haya magonjwa madogo madogo hayakusogelei kabisaa [emoji123]Nisipopiga tizi siku tatu mfululizo naumwa kabisa!!!
[emoji5] [emoji6] [emoji4] [emoji123] uko vizuri.....nitapiga hata push-ups 100+ kweliMi ntakukalia mgongoni akati unapiga push-ups
ha ha sema hapa hapaNjoo PM nikupe siri ya mafanikio yao mpendwa.