Kwanini wasanii wa kike karibia wote wana shepu?

Kwanini wasanii wa kike karibia wote wana shepu?

kuna ile story iliyo trend sana hapa town kuhusu "Maji" asee nayo ilikuwanga ya hao wasanii, laiti kama Maji yangekuwa yana change kuwa mweupe tungesema Hollywood imehamia Tanzania [emoji15] [emoji15]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wanaozaliwa na shepu nzuri ila wengi wetu tunazitengeneza. Ata wewe unaweza tengeneza! Nenda gym, kuna mazoezi ya kuongeza au kupunguza chochote unachotaka.
Kuna wale wa kutumia dawa za wachina etc...
Sio wote wamezaliwa nazo.
 
Hela yako tu unaweza kuwa kama tunda au kuwa na tumbo kama gigy ,au kiuno kama le mutuz unachagua tu
 
Hahaha! Unakuta mdada ana kitambi mpaka unajiuliza anaweza iona papuchi yake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Utata ndio unapoanzia hapo!!! Kaaazi kweli kweli..Jamani wadada Jaribuni kufanya matizi ( mazoezi) ni muhimu sana....Huwa navutiwa sana na wadada wafanya mazoez na wenye matumbo yaliyojengeka kimazoezi
 
Kitu cha sit-ups 1000 kila asubuhi na squats 100... Unakuaje mtamuuu! Mazoezi raha sana
 
Kitu cha sit-ups 1000 kila asubuhi na squats 100... Unakuaje mtamuuu! Mazoezi raha sana
[emoji39] [emoji39] [emoji39] I wish nipate mwanamke wa Aina hiyo aisee....

[HASHTAG]#SwaliLaKizushi[/HASHTAG]; Are u 1 of 'em??
 
Mi nauliza swali jmn hivi hawa wasanii wetu wa kike ndio kusema Mungu kawapendelea au???
Maana karibia wote wanashep hawana matumbo mpaka nashangaa au kuna vitu wanatumia hawa
Kwa nijuavyo mimi Wengine Mungu kawajaalia....
Wengine juhudi zao za kufanya mazoezi zimewafikisha hapo.....
Wengine kuna 'vitu' (dawa) wanatumia...
 
Kumbe na nyie vinawakera km siye vidume tukiwaangalia utadhani mumevembewa makande.
 
Back
Top Bottom