Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Katika maisha kuna hatua nyingi sana sisi binadamu tunapitia na kila mmoja ana namna au mbinu yake katika kuyafikia mafanikio. Kwa mukhutadha huo nakwenda moja kwa moja kwenye mada hasa hii fani uchekeshaji ambayo kwa sasa inachezwa zaidi na vijana.
Inakuwaje wasanii wa maigizo na uchekeshaji wa Kiume, huigiza kama Wanawake na sijawahi kuona wachekeshaji wa kike wakiigiza kama wanaume? Au inaonekana wanawake ndo wameboboa zaidi katika visa na mikasa pamoja na vitimbi kuliko wanaume? Karibuni pamoja wakuu.