Kwanini wasanii wa maigizo na uchekeshaji wa Kiume wengi huigiza kama Wanawake?

Kwanini wasanii wa maigizo na uchekeshaji wa Kiume wengi huigiza kama Wanawake?

Ili uwe mchekeshaji katika dunia ya sasa, unapaswa uwe na akili sana na uwe na upeo mpana wa kutambua mambo mengi na kuweza kuyageuza kuwa comedy itakayowachekesha watu. Wachekeshaji wetu hawana uelewa wala ujuzi wa mambo mengi, kwahiyo wanajikuta vitu pekee walivyo navyo ni vituko vituko vya kitoto na vitu vyepesi vyepesi kama hivyo kujifanya wanawake na lafudhi za ajabu..
Absolutely true! Kipaji na uelewa mpana wa mambo ni muhimu kwenye uchekeshaji.
 
Hivi hamsikilizi boringo nafasi ya uhusika wa mwanamke inaimbwa na mwanaume
 
Kuvaa na kuchekesha km mwanamke ni katika kuweka vituko tu vya wanawake, mwanamke hawez kuchekesha km mwanamke ila mwanaume anaweza akavaa kama mwanamke akapaka mawanja yao marefu na mikogo iliyopitiliza na kuweka vituko vilivyopitiliza ilimradi tu mtazamaji aone vituko
 
Sasa hivi comedian amebaki Jiwe pekee. Jiwe kichaa. Anawafikia hadi vijijini kwa bajeti ya serikali
 
Back
Top Bottom