Absolutely true! Kipaji na uelewa mpana wa mambo ni muhimu kwenye uchekeshaji.Ili uwe mchekeshaji katika dunia ya sasa, unapaswa uwe na akili sana na uwe na upeo mpana wa kutambua mambo mengi na kuweza kuyageuza kuwa comedy itakayowachekesha watu. Wachekeshaji wetu hawana uelewa wala ujuzi wa mambo mengi, kwahiyo wanajikuta vitu pekee walivyo navyo ni vituko vituko vya kitoto na vitu vyepesi vyepesi kama hivyo kujifanya wanawake na lafudhi za ajabu..