Ha ha ha. Na huenda kukoseka wanaocheka ni kulingana na ugumu wa maisha hasa wakati huuKuwa mchekeshaji ni kazi ngumu sana maana watu wa kucheka wenyewe siku hizi wako wapi kila mtu kakasirikia maisha yake.
Sasa hawa wachekeshaji wanapokutana na watu wakiokasirika na mbinu zao kudunda lazima akili ziwatume ujinga.
Kuna pair ya sister feti nashindwaga kujua nani ni nani paleNipe mfano mmojawapo ni nani? Huenda ukakuta kumi kwa mmoja
Hakika huyanenayo. Akili kubwa inahitajika.Ili uwe mchekeshaji katika dunia ya sasa, unapaswa uwe na akili sana na uwe na upeo mpana wa kutambua mambo mengi na kuweza kuyageuza kuwa comedy itakayowachekesha watu. Wachekeshaji wetu hawana uelewa wala ujuzi wa mambo mengi, kwahiyo wanajikuta vitu pekee walivyo navyo ni vituko vituko vya kitoto na vitu vyepesi vyepesi kama hivyo kujifanya wanawake na lafudhi za ajabu..