Kwanini wasanii wa Mwanza mnapenda sana kuigiza kisukuma kwenye nyimbo zenu

Mmmh utakuwa na visa na wasukuma ww, mbona wasanii wengine kibao tu wanachomeka na vilugha vyao mf kina linex,.
Wasanii kibao afu mfano ni linex pekee
 
Ikitokea umehamia mwanza ndio utachoka kabisa na sisi,,, kwani huku ni ndio kuna wasanii kama kina Budagala wao ni full kisukuma na nyimbo zao zinapigwa sana mitaani na kwenye mabaa na daladala pia.. Hao uliowataja ni wachache tu waliotokamo..
Aaah ngosha hilo ulilotaja hapo ni jina la msanii mbona sio la kizungu kama john makin vile
 
Huwezi ukasahau unakotoka. Hata Mwl Nyerere alimtolea mfano sir. George Kahama, somewhere alijikuta akitamka Maiwee!
 
Mkulu akianza kubonga kisukuma hadi ana-relax usoni. Mwambie aongee lugha ile ya malkia-duh anakuwa mpole huyo, utakuta anaongea huku kichwa kakipindisha kushoto kijasho chamtiririka kwa mbali. Chezea simple participle tense wew!
 
Wanachanganya kisukuma kwa kuwa rais ni msukuma naye pia anachanganya kisukuma kwenye hotuba zake.

Hii ni zamu ya wasukuma.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hapa nahisi angechomeka lugha tofauti na kabila lao pia wangehoji uhalali wa makabila yao...
 
Mkataa kwao ni mtumwa na ili ufahamike utokeapo lazma utupie kitu kitakachokutambulixha na ndivyo afanyavyo mtu km linex na wengine wengi
 
Uzuri ni lugha ya Taifa siku nyingi tu sana msije sema kwa Rais ni msukuma hii inajulikana miaka mingi! Kuna mtu asiyejua Nduhu Tabu! Anyooshe mkono!
 
Ikitokea umehamia mwanza ndio utachoka kabisa na sisi,,, kwani huku ni ndio kuna wasanii kama kina Budagala wao ni full kisukuma na nyimbo zao zinapigwa sana mitaani na kwenye mabaa na daladala pia.. Hao uliowataja ni wachache tu waliotokamo..
Wasanii Wa Kanda Ya Ziwa.

1. Bhudagala

2.Mchele Mchele

3.Suzy

4.Lady Killy

5.Ya Leo Kali

5.Mwl George Sura 2 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…