Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah ngosha hilo ulilotaja hapo ni jina la msanii mbona sio la kizungu kama john makin vileIkitokea umehamia mwanza ndio utachoka kabisa na sisi,,, kwani huku ni ndio kuna wasanii kama kina Budagala wao ni full kisukuma na nyimbo zao zinapigwa sana mitaani na kwenye mabaa na daladala pia.. Hao uliowataja ni wachache tu waliotokamo..
Kweli ukikaa nao bar waamaudhi sanaSio kweli miss chaga
Huwezi ukasahau unakotoka. Hata Mwl Nyerere alimtolea mfano sir. George Kahama, somewhere alijikuta akitamka Maiwee!Hilo ni swali langu wakuu wa nyumba hii kwanini hawa wasanii wa mwanza hupenda sana kuchanganya kisukuma kwenye nyimbo zao kinawapelekea kufanya hivo au ndo kuendeleza ukabila
COYO MC huyu ni mwana hip pop kutoka mwanza anayetamba na ngoma yake ya njoo badae humu kuna kuna kisukuma kingi sana
DARASA pia huyu naye ni msanii wa hip hop kachanganya kisukuma ngoma zake nyingi mfano ile aliyoimba na mr blue pamoja na hii mpya ya inayoitwa muzik
Fid q huyu ile ngoma yake mpya inayosifiwa na makonda na kigangwala mwanzon imeanza kwa kisukuma kitupu
Young kiler huyu ndo usiseme kila nyimbo natokea mwanza sijui mwanza mwanza kuna nyimbo kaimba na juma natur yan ni kisukuma tupu
Kara jeremiah masanja huyu naye ana nyimbo ameimba kwa kisukuma tu sijui alimanisha nini kwenye ile nyimbo
Dudu baya huyu huchanganya lakin sio sana
Hao tu ni wale wa hip hop tutaendelea badae na wale wabana pua
Wanachanganya kisukuma kwa kuwa rais ni msukuma naye pia anachanganya kisukuma kwenye hotuba zake.
Hii ni zamu ya wasukuma.
hapa nahisi angechomeka lugha tofauti na kabila lao pia wangehoji uhalali wa makabila yao...Lugha ukiijua ni vigumu sana kuacha kuitumia at all, ndo maana hata wasanii kama Fid.Q, AY, Vanessa, Diamond na wengineo wanachomekea kiingereza kwenye nyimbo zao ni kwa sababu wanakijua. Sikiliza hata wasanii wa nje mfano Davido anachanganya lugha za kwao, ni kawaida mkuu vumilia.
Wasanii Wa Kanda Ya Ziwa.Ikitokea umehamia mwanza ndio utachoka kabisa na sisi,,, kwani huku ni ndio kuna wasanii kama kina Budagala wao ni full kisukuma na nyimbo zao zinapigwa sana mitaani na kwenye mabaa na daladala pia.. Hao uliowataja ni wachache tu waliotokamo..
Hapana sometime tunaonyesha upendo tu,mimi hapa juzi juzi pale Black Diamond Club nilizungusha kinywaji kwa watu wote waliokua karibu.Kweli ukikaa nao bar waamaudhi sana