Kwanini Wasanii wanaishi kama mazombi?

Hii professional ni shida sana kwa nchi yetu walahi !
That’s all
 
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba bongo sanaa hailipi kama inavyopaswa na hivyo wanaishia kuwa depressed. Inahitaji akili ya ziada kupata mafanikio bongo kwenye sanaa tofauti na wao wanadhani kiki tu inampa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mazombi kiongozi wao ni yule wa kamati ya rambirambi anajijua
 
Hizo sifa za NPD mbona watu kibao humu jf tunazo!!? Tusiwaseme wasanii peke yao
Watu wa JF bana Mtu anakuambia akienda salon ananyoa kwa gharama ya Elfu 15,anasema ukinyoa salon za buku unaweza kupata Kansa ya Ngozi ya Kichwa,kumbe bwege flani tu qumermae walah,ukiiga maisha ya watu humu ndani unaweza kujiona we fukara wa kutupwa
 
Hili kundi linaishi maisha ya Kijinga sana nao eti wamejiaminisha kuwa ni kioo cha jamii!!
Hivi nani alileta huu usemi kwamba msanii ni kioo cha jamii? mana hata wacheza porno nao ni wasanii sijui tusemeje na hapa?
 
kuna uzi flani humu watu wanajuzana kuhusu viwango vya fedha ambazo wamewahi kuhonga... Aisee naomba nkiseme wazi kutokana na uzi ule ndipo nilipobaini sitakiwi kusema hadharani kuwa nimewahi kuhonga.... watu wa humu wanahonga mifedha ya maana ambayo ndo msingi wa maisha ya watanzania wengi wenye maisha ya kati
 
Hii ndo JF mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…