Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangiaTafuta hela wewee... Achana na Mambo ya watu
mjukuu wangu tabia ya kugegeda wanaume wenzako umeanza lini?Mkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangia
Tafuta hela wewee... Achana na Mambo ya watu
Mkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangia
Ni kweli alafu wengi wao ni wale wenye elimu ya juu kiasi flan au wengine walikuwa na ndoto za kusoma zaidi...Mfano Dataz alikuwa anafanya kazi Crdb pale tabata inaonyesha muziki ameshaupa kisogoWengi wakipata hit song moja ndio wanapotea mazima.
mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft )Dully syles
3.Farida -Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani
4.
Hao uliowataja wote walikuwa kielimu zaidi Dataz alisoma chuo Cbe na sasa anafanya kazi Crdb bank TabataWengi wakipata hit song moja ndio wanapotea mazima.
mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft )Dully syles
3.Farida -Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani
4.
Zay B? Na Rah P je wapo wapi mkuuNi kweli alafu wengi wao ni wale wenye elimu ya juu kiasi flan au wengine walikuwa na ndoto za kusoma zaidi...Mfano Dataz alikuwa anafanya kazi Crdb pale tabata inaonyesha muziki ameshaupa kisogo
2.Mabinti wa raha ya tunda kitambo sana nilisikia wameenda kusoma nje
Hao uliowataja wote walikuwa kielimu zaidi Dataz alisoma chuo Cbe na sasa anafanya kazi Crdb bank Tabata
2. Hao hot girls walienda kusoma UK au USA kama sijakosea na had sasa hawako nchini.
3.Farida nae alikuwa ni binti anaependa kusoma hadi sasa nayeye katulia sehemu fulani baada ya masomo....asilimia kubwa wadangaji wanakomaa mwanzo mwishoπππni maoni yangu jamani nisihukumiweππ
Tafuta hela wewee... Achana na Mambo ya watu
π π π π π π πMkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahMkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangia
Zay B anaishi Temeke Rah p yuko USA muda mrefu.Zay B? Na Rah P je wapo wapi mkuu
Tafadhali kuwa na adabu, usimuweke Saida Karoli na hivyo vitotoHii game aliiweza Jide tu, wengine wote walisanda. Kuna waliotoa albam na kuna walioishia track moja tu
1. Dataz-Mume wa mtu
2. Farida-Pesa
3. Raha P-Hayakuhusu
4. Zayb-Niko gado
5. Sister-Anakuja
6.Stara Thomas (huyu alijitahidi lkn pumzi ilikata)
7. Saida Karoli
8. Unique sistaz
9. Enika-Baridi kama hii
10.Shaa
11. Queen Darlin (huyu nahisi kipaji hana)
12. Keysha
13. Vumilia
14. Pauline Zongo
Mwanadada pekee ambaye alimtetemesha Jaydee alikua ni Ray C lakini kilichotokea wote tunajua [emoji22]