Kwanini wasanii wengi wa kike wanaacha muziki baada ya hit moja tu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ukiachana na kina jaydee, ray c , saida karoli, mama stara thomas na pengine kwa mbali kina rosa ree, sister p na zay b ni wasanii wengi sana wa kike wakivuma kwa hit song moja ndio wanapotea mazima na sababu haijajulikana ni kwanini.

mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft Dully syles)
3.Farida -Oooh pesa
4.nakaya - Mr politician
5. Rah P - Hayakuhusu
6.unique sistaz
7.enika - baridi kama hii
8.kadja - maumivu niache
9.Hafsa - Presha (ft banana zoro)
10.Pauline zongo
 
Wengi wakipata hit song moja ndio wanapotea mazima.

mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft )Dully syles
3.Farida -Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani
4.
Ni kweli alafu wengi wao ni wale wenye elimu ya juu kiasi flan au wengine walikuwa na ndoto za kusoma zaidi...Mfano Dataz alikuwa anafanya kazi Crdb pale tabata inaonyesha muziki ameshaupa kisogo
2.Mabinti wa raha ya tunda kitambo sana nilisikia wameenda kusoma nje

Hao uliowataja wote walikuwa kielimu zaidi Dataz alisoma chuo Cbe na sasa anafanya kazi Crdb bank Tabata
2. Hao hot girls walienda kusoma UK au USA kama sijakosea na had sasa hawako nchini.
3.Farida nae alikuwa ni binti anaependa kusoma hadi sasa nayeye katulia sehemu fulani baada ya masomo....asilimia kubwa wadangaji wanakomaa mwanzo mwisho😁😁😁ni maoni yangu jamani nisihukumiwe💃💃
 
Zay B? Na Rah P je wapo wapi mkuu
 
NAKAAYA

Ile interview bila kibanio ilitafuna saikolojia yake mpaka leo simsikii tena.

Usanii kazi ngumu sana.
 
Kuna wale Unique Sisters nao hawasikiki,ila wawili wapo Japan nafikiri walikuwa wanasoma na walimaliza itakuwa wanapiga kazi hukohuko
 
Hii game aliiweza Jide tu, wengine wote walisanda. Kuna waliotoa albam na kuna walioishia track moja tu
1. Dataz-Mume wa mtu
2. Farida-Pesa
3. Raha P-Hayakuhusu
4. Zayb-Niko gado
5. Sister-Anakuja
6.Stara Thomas (huyu alijitahidi lkn pumzi ilikata)
7. Saida Karoli
8. Unique sistaz
9. Enika-Baridi kama hii
10.Shaa
11. Queen Darlin (huyu nahisi kipaji hana)
12. Keysha
13. Vumilia
14. Pauline Zongo
Mwanadada pekee ambaye alimtetemesha Jaydee alikua ni Ray C lakini kilichotokea wote tunajua [emoji22]
 
Tafadhali kuwa na adabu, usimuweke Saida Karoli na hivyo vitoto
 
Sema wanatiwa kinoma na maproducer pamoja na presenters
 
Back
Top Bottom