Kwanini wasanii wengi wa kike wanaacha muziki baada ya hit moja tu

Kwanini wasanii wengi wa kike wanaacha muziki baada ya hit moja tu

Mwenye picha ya Dataz atuie plzzz
1569689823390.png
 
Kupotea haimaanishi hautoi nyimbo. Ferouz anatoa ngoma kila siku na mitaa bado imemkataa!

Kila kitu kina muda wake, na waswahili wanasema, "Adhaniaye amesimama na achunge asije kuanguka".
 
Kuna muda threads kama hizi mtu unatamani kuchangia ila unalazimika kupiga kimya tu. I miss those old days. Things were fucking real. By things I meant talents.u
Heshima kwao mabinti wote walioingia kwenye game enzi hizo na wakasikika. Japo wengi wao walichezewa na wakware ila ndio hivyo...
 
mimi nadhani tatizo kubwa ni kufanya mziki kwa kubahatisha pili by that time mazingira yalikuwa magumu sana kwa mtoto wa kike kusurvive kwenye bongofleva music industry tatu wengi wao kati ya hao uliowataja walikuwa wa kishua na wamepiga shule so hawakuhangaika kujipa stress kisa music
 
NAKAAYA

Ile interview bila kibanio ilitafuna saikolojia yake mpaka leo simsikii tena.

Usanii kazi ngumu sana.
Anaishi Nairobi na Bongo anakuja sana tu ila hafanyi tena show off maana atafukua makaburi
 
Ukiachana na kina jaydee, ray c , saida karoli, mama stara thomas na pengine kwa mbali kina rosa ree, sister p na zay b ni wasanii wengi sana wa kike wakivuma kwa hit song moja ndio wanapotea mazima na sababu haijajulikana ni kwanini.

mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft Dully syles)
3.Farida -Oooh pesa
4.nakaya - Mr politician
5. Rah P - Hayakuhusu
6.unique sistaz
7.enika - baridi kama hii
8.kadja - maumivu niache
9.Hafsa - Presha (ft banana zoro)
10.Pauline zongo
Recho pia nilikuwa namkubali sana
 
Game ya bongo ngumu toka enzi! Hata Jay dee nafikiri tumeona utata wake nafikiri ndio sababu alidumu lkn pia alipata boost ya mumewe wa zamani aliekua ktk media industry zamani sana...

Wengi waliotoka miaka hyo walikua wasomi angalau wa form6 na degree, au wakishua hasa! Hivo hawakutaka kuendelea kutumika kinyume na matakwa yao, ndio maana game ilipokua tight zaidi kwakua walikua na options za ziada hawakutaka kujitoa muhanga na music kuepuka kutumika vibaya, ikiwemo kutumika kingono.
 
Ukiachana na kina jaydee, ray c , saida karoli, mama stara thomas na pengine kwa mbali kina rosa ree, sister p na zay b ni wasanii wengi sana wa kike wakivuma kwa hit song moja ndio wanapotea mazima na sababu haijajulikana ni kwanini.

mifano
1. Dataz-mme wa mtu
2.Hot Galz - Raha ya Tunda (ft Dully syles)
3.Farida -Oooh pesa
4.nakaya - Mr politician
5. Rah P - Hayakuhusu
6.unique sistaz
7.enika - baridi kama hii
8.kadja - maumivu niache
9.Hafsa - Presha (ft banana zoro)
10.Pauline zongo
Game bahati mbaya... Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo
 
Mkuu vua chupi kaa pembeni kama huna cha kuchangia
Acha kutishia ndume .wengine Chupi hawajawahi kuvaa , rungu iko chini ya goti chupi ya nini akikunja suruali unakutana nao ushakuwa 5G. Kesi hiyo hatuji utajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom