Kwanini wasanii wengi wa kike wanapenda kupost picha zao za utupu mitandaoni?

Unamjua vizuri Whitney???

Simjui vizuri Ila through half naked
Ya hiyo picha yake nimeona kama kajidhalilisha coz hana mvuto kivile ukiangalia Kwa makini kama kakomaa fulani hivi kimtindo.
 
Na utawalawa huu biashara lzm idode,watu wamefulia mbaya,unaangalia then una skip to next pg
 
kwa sababu wanaume wengi tunapenda kuziona hizo picha.huo ndo ukweli
 
Hio chupi ya witi mbona kama imechanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…