Kwanini wasanii wengi wa kike wanapenda kupost picha zao za utupu mitandaoni?

Kwanini wasanii wengi wa kike wanapenda kupost picha zao za utupu mitandaoni?

image.png
 
Unamjua vizuri Whitney???

Simjui vizuri Ila through half naked
Ya hiyo picha yake nimeona kama kajidhalilisha coz hana mvuto kivile ukiangalia Kwa makini kama kakomaa fulani hivi kimtindo.
 
Na utawalawa huu biashara lzm idode,watu wamefulia mbaya,unaangalia then una skip to next pg
 
Back
Top Bottom