Kwanini wasanii wengi wa kiume (muziki na sinema) wanajipodoa podoa sana?

Kwanini wasanii wengi wa kiume (muziki na sinema) wanajipodoa podoa sana?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu,

Hivi kwanini wasanii wa fani ya mziki na filamu wanapenda sana kujipodoa podoa wanakua kama wasichana? mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala, sasa hivi kawa mweupe kama Mzungu na kwenye filamu ndio hatari tupu wote weupe kama mashombe shombe.

Hivi wasanii weusi wa majuu kama marekani hawajipodoi podoi mtu kama Steven James wa American Ninja, au Wesley Snipes hawa jamaa ni weusi tii na wana heat mbaya mbovo. Jamani wasanii wakiume acheni hizo bana
.
 
Nani anatokea mbagala?

Makeup utumika kwa wasanii na watu wa fani zingine hata mastudio ya kutokeleza kwa TV wanapewaga ka busti.
 
Nani anatokea mbagala?

Makeup utumika kwa wasanii na watu wa fani zingine hata mastudio ya kutokeleza kwa TV wanapewaga ka busti.

mungu wangu! wanaume wanapaka makeup? basi kumbe ni K 4 REAL tu ndio atumiagi haya makitu hongera K 4 REAL
 
mungu wangu! wanaume wanapaka makeup? basi kumbe ni K 4 REAL tu ndio atumiagi haya makitu hongera K 4 REAL

Yes hiyo ni kawaida cha ajabu nini wengi actors na wakiwa wanatokea kwenye tv uwa wanatayarishwa....

Na ni kazima sio kila mtu, na haimaanishi wanazo makwao hapana.

Unachoshangaa nini si ugugo usome hayo ndio maisha....
 
Ndo mada gani hii,kama umeona wanafaidi jipodoe na wewe acha story za kwenye kitchen party

Ww gombea urais kupitia ccm utapata hakika umekuwa mkweli.na maamuzi magumu kusema ukweli
 
Yes hiyo ni kawaida cha ajabu nini wengi actors na wakiwa wanatokea kwenye tv uwa wanatayarishwa....

Na ni kazima sio kila mtu, na haimaanishi wanazo makwao hapana.

Unachoshangaa nini si ugugo usome hayo ndio maisha....

Hata usiwe unajisumbua kumjibu huyo K 4 real!
 
Hata usiwe unajisumbua kumjibu huyo K 4 real!

Huyu sakafu namjua kama kawa na anamsingizia nani nilitaka nimuweke sehemu yake kwa jambo hili

akionaga kitu kizuri cha Chibu anaingia kiweuweu cha kumshusha.
 
sio wanasema rangi ya pesa eti chipu katakata kisa kapata hela kuna ile watu husema pesa ni sabuni ya roho kwaiyo ime mtakatisha mpaka ngozi ina ngara

ni ujinga mtuu kuchukia rangi yako.? mpaka kufikia kujipodoa kweli sio vizuri aibu.
 
Back
Top Bottom