lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Hivi kwanini wasanii wa fani ya mziki na filamu wanapenda sana kujipodoa podoa wanakua kama wasichana? mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala, sasa hivi kawa mweupe kama Mzungu na kwenye filamu ndio hatari tupu wote weupe kama mashombe shombe.
Hivi wasanii weusi wa majuu kama marekani hawajipodoi podoi mtu kama Steven James wa American Ninja, au Wesley Snipes hawa jamaa ni weusi tii na wana heat mbaya mbovo. Jamani wasanii wakiume acheni hizo bana.