lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Weka picha tumuone huyo ☝mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala.
Weka picha tumuone huyo ☝
Nani anatokea mbagala?
Makeup utumika kwa wasanii na watu wa fani zingine hata mastudio ya kutokeleza kwa TV wanapewaga ka busti.
mungu wangu! wanaume wanapaka makeup? basi kumbe ni K 4 REAL tu ndio atumiagi haya makitu hongera K 4 REAL
Ndo mada gani hii,kama umeona wanafaidi jipodoe na wewe acha story za kwenye kitchen party
Yes hiyo ni kawaida cha ajabu nini wengi actors na wakiwa wanatokea kwenye tv uwa wanatayarishwa....
Na ni kazima sio kila mtu, na haimaanishi wanazo makwao hapana.
Unachoshangaa nini si ugugo usome hayo ndio maisha....
picha inakuja
Hata usiwe unajisumbua kumjibu huyo K 4 real!
Iko wapi mbona siioni au unataka nikae kabisa nisubiri kama nasubiri video ya chekecheke!