Kwanini wasanii wengi wanalalamika kuibiwa nyimbo na diamond?

Ponjoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
442
Reaction score
396
Kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa kibao cha nataka kulewa hbaba alikuja juu na kulalamika kuibiwa nyimbo yake na sasa hiki kibao kipya cha my number 1 nacho kimezidi kuleta tabu ambapo dayna anadai beat kaibiwa na baba levo ambaye bila shaka wote ni wa kigoma maana walifanya ngoma ya kuusifu mkoa wao hawa pamoja, naye anakuja juu kulalamika kuibiwa nyimbo na huyu kijana.kwanini wasanii wote hawa wamsingizie yeye? Maana isije kuwa kukubalika kwake ndiyo kunafanya watu wasiamini hata kama akiwa ni mwizi maana "apendwaye hulindwa" by the way kazi zake ni nzuri...
 
huyo almasi c dhani kama safarii hii analakujitetea kila mara yeye2 kwann isiwe mwana FA, AY, PROF J huyu dogo atakua ni JIZI c dhani kama babalevo anaihtaj kick kutoka kwa dimond, DIMOND anaonekana ni kiraza bila kuiba nyimbo za wenzie bas miaka 6000 angeshapotea kwenye game , huu ni mtazamo2 ukijenga chuki kazi ni kwako
 
Kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa kibao cha nataka kulewa hbaba alikuja juu na kulalamika kuibiwa nyimbo yake na sasa hiki kibao kipya cha my number 1 nacho kimezidi kuleta tabu ambapo dayna anadai beat kaibiwa na baba levo ambaye bila shaka wote ni wa kigoma maana walifanya ngoma ya kuusifu mkoa wao hawa pamoja, naye anakuja juu kulalamika kuibiwa nyimbo na huyu kijana.kwanini wasanii wote hawa wamsingizie yeye? Maana isije kuwa kukubalika kwake ndiyo kunafanya watu wasiamini hata kama akiwa ni mwizi maana "apendwaye hulindwa" by the way kazi zake ni nzuri...

kwanini unasema wanamsingizia? Kama yeye ndiye mwizi ulitaka wamtaje mtu mwingine? alafu inaonekana umeanza kufatilia muziki juzi tu, huu wizi upo muda mrefu hata Q-chief aliwahi tuhumiwa pia!!
 
Mkuu tindikali sikuwa na maana kuwa anasingiziwa ila nimejaribu kuuliza swali hasa kwa wale ambao wanasema anasingiziwa kwasababu yeye ni mti wa matunda!!! swali langu hapo juu ni kwamba ikiwa anasingiziwa inawezekana vipi wasanii wote hao wamsingizie yeye tu? tena katika nyakati tofautitofauti?

msanii mmoja kakusingizia sawa, ila wasanii wote hawa wamsingizie yeye...inaingia akilini hii???
 
kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa kibao cha nataka kulewa hbaba alikuja juu na kulalamika kuibiwa nyimbo yake na sasa hiki kibao kipya cha my number 1 nacho kimezidi kuleta tabu ambapo dayna anadai beat kaibiwa na baba levo ambaye bila shaka wote ni wa kigoma maana walifanya ngoma ya kuusifu mkoa wao hawa pamoja, naye anakuja juu kulalamika kuibiwa nyimbo na huyu kijana.kwanini wasanii wote hawa wamsingizie yeye? Maana isije kuwa kukubalika kwake ndiyo kunafanya watu wasiamini hata kama akiwa ni mwizi maana "apendwaye hulindwa" by the way kazi zake ni nzuri...

inawezekana akawa mwizi,au wanaolalamika wakawa wanajiweka level moja nae.
 
Mkuu tindikali sikuwa na maana kuwa anasingiziwa ila nimejaribu kuuliza swali hasa kwa wale ambao wanasema anasingiziwa kwasababu yeye ni mti wa matunda!!! swali langu hapo juu ni kwamba ikiwa anasingiziwa inawezekana vipi wasanii wote hao wamsingizie yeye tu? tena katika nyakati tofautitofauti?

msanii mmoja kakusingizia sawa, ila wasanii wote hawa wamsingizie yeye...inaingia akilini hii???

pamoja mkuu!!
 
Back
Top Bottom