Kwanini wasibadilishe hili Jina la uwanja wa ndege Ngerengere

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuka Wanajamvi

Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.

Kuna majina mazuri ukitamka yani yanaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe?

Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof, Jacobson Atkinson, Mitch Mconell, Davidson O'Connor Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.

Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.

Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
 
Mzuka Wanajamvi

Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.

Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.

Anza kubadilisha jina la mwanao kwanza
 
Tuuite Magufuli air force
 
Kunduz ni kwa Waarabu wale hawana habari na tafsiri yake kwenye Kiswahili
Hata sisi tunalugha na majina ya sehemu zetu mfano , kizuka, ngerengere, matombo , mchambawima, brigedi ya tembo nk
 
Mzuka Wanajamvi

Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.

Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.

Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.

Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Kulibadilisha siyo tatizo ila mapendekezo yako ni tatizo. Ngerengere ni jina zuri tu.
 
Uitwe ngarenaro, ziwa Victoria tuite nyanza.
 
Mzuka Wanajamvi

Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.

Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.

Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.

Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Mimi naona tuite Mkude simba airforce kama
lengo lako majina ya watu.
 
Back
Top Bottom