The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Inakuwaje MyebusiMkuu ndio unaamka?
Yani mnataka kulilaani hilo ziwa kwa maksudiSisi tunataka kubadilisha majina ya vivutio vyetu kama Lake Vitoria kutoka majina ya mkoloni alaf wewe unataka tufanye vice versa.
Anza kubadilisha jina la mwanao kwanzaMzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Kunduz ni kwa Waarabu wale hawana habari na tafsiri yake kwenye KiswahiliYawezakana pia Kunduz Military Base waiona iko poa
Tuuite Magufuli air forceMzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Hata sisi tunalugha na majina ya sehemu zetu mfano , kizuka, ngerengere, matombo , mchambawima, brigedi ya tembo nkKunduz ni kwa Waarabu wale hawana habari na tafsiri yake kwenye Kiswahili
Kulibadilisha siyo tatizo ila mapendekezo yako ni tatizo. Ngerengere ni jina zuri tu.Mzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Mimi naona tuite Mkude simba airforce kamaMzuka Wanajamvi

Tatizo langu unapenda sana kuangalia movies za wazunguKuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase,