Si wote maana hata wenye mwili mdogo wapo wanaotoa harufuWe alie kuambia uwanuse ni nani
Wewe kama ni bint basi ni mwembamba na umechukuliwa mume wako na mwanamke mnene kwahiyo umekuja kujifariji huku au kama ni mwanaume utakuwa umekataliwa na mwanamke mnene.Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
We utakuwa bongisa tu![emoji3] [emoji3]Kunuka ni uchafu wa mhusika mwnyw usiwahusishe wadada wanene na kunuka tafadhali
Mbona nimeshaoaIdadi tafadhali!?!?! Wananuka? Nini?!?! Aidha acha kutangaza uzinzi wako hapa. Kama umekua oa na uishi na mkeo badala ya kupitia kila mwanamke menene ili kutafiti kunuka kwao!
Kama watatu minimumUmewanusa wasichana wanene wangapi?
Mie nawafahamu wembamba wanaonuka pia, naruhusiwa kugeneralize?
HahaaaaItakuwa anapenda harufu
InawezekanaUnawapata wachafu mkuu ndio mana wananuka
Kwa kawaida mwili wa binadamu unatoa harufu,Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
Kwa mtiririko wa majibu uliyopata nadhani utakuwa umejua nyuma ya id mficho waliochangia ni watu wa Jinsia ipi.! Na bila shaka maumbile yao yanafananaje.!?Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?