Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
embelea chumba cha msichana mwembamba au umbo la kati utagundua mpangilio mzuri wa vifaa vyake na usafi hata chupi zao (zaidi wasichana wembamba)
Tembelea chumba cha mwanamke mnene ni majanga matupu..!
wengi wao hata kufanya usafi wa nguo zao za ndani huona taabu.
Enyi Wanawake nifahamisheni ,unene na wembamba ndiyo unaoleta tofauti ya usichana na uanamke?