Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
embelea chumba cha msichana mwembamba au umbo la kati utagundua mpangilio mzuri wa vifaa vyake na usafi hata chupi zao (zaidi wasichana wembamba)
Tembelea chumba cha mwanamke mnene ni majanga matupu..!
wengi wao hata kufanya usafi wa nguo zao za ndani huona taabu.
kuna ka ukweli hapoKwa mtiririko wa majibu uliyopata nadhani utakuwa umejua nyuma ya id mficho waliochangia ni watu wa Jinsia ipi.! Na bila shaka maumbile yao yanafananaje.!?
Kikubwa kinachowafanya wawe na harufu kwa mtazamo wangu ni uvivu wa kujifanyia usafi wengi wao ki asili ni wazembe.
tembelea chumba cha msichana mwembamba au umbo la kati utagundua mpangilio mzuri wa vifaa vyake na usafi hata chupi zao (zaidi wasichana wembamba)
Tembelea chumba cha mwanamke mnene ni majanga matupu..!
wengi wao hata kufanya usafi wa nguo zao za ndani huona taabu.
Hapa hawezi kanyaga...! Pamoto mno...cc Miss Natafuta huyu ni kibonge....
Huyo kibamia kashindwa kumpleka kibo bonge, atakuwa kutukanwa huko kaja kumalizia hapa hasira..!Acha uongo we ndugu. Badili chaguzi zako maana una nyota ya uozo
Hahahaa umenichekesha mkuuWe alie kuambia uwanuse ni nani
nami nipate maelezo, me pia huwaza hvoMwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?