Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?

Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?

Hyu dem sio mkenya, ni mbongo amesoma udsm na alikuwa vise prezdaa wa daruso 2015,wakt prezdaa ni hyo chalii white katkat
 
A fool with Money? Mzee kuwa serious,
You and I know Pesa ndio kila kitu,
Huwezi kujisifu una akili kama huna hela, Yaani Kama akili zako hazikusaidii kupata hela to me you are just a fool.
Hio ni methali babu,a fool and his money are soon parted . Ukiwa na hela na unatumia ovyo ovyo bila akili zikiisha utakua habari ya mjini.
 
Wa Kenya wengi wana sura nzito afadhali kwa Mombasa tu wamechanganyika na waarabu wa pemba

Huo ni ubaguzi wa genophobia, unaweza anza kubagua kutokana na uzito wa sura zao.
 
Waschana Wakenya wamegundua kwamba yeyote akiwa superstar Bongo huwa hataki madem wa kibongo tena maanake wengi wao wako shallow and uneducated. Mastar wa bongo hutafuta mademu wa Kikenya sana ndio wawachanue yaani, our women give bongo superstars the class that bongo gir;s can never meet. Ndio maana warembo wa Kikenya huchukua advantage. Lakini hutampata mrembo wa Kikenya akimfuata boya fulani kwa jina Joto la Jiwe...........
Chachill na Erick Omondi wanasema wanaume Kenya sio Romantic na ni bahili sana hawajui ku- spend. Hahahaha.

Sasa ikifika hatua ya kujidhalilisha kama huyu binti, ndio mwanzo wa kuwadharau. Huku kwetu wasichana wa Kenya tunawachukulia kama kuku wa kisasa, " they are cheap, easy to prepare, but not tasty?
 
Wanaume watanzania mna kipi cha kupea Warembo hata msipokua mabahili? Wasichana wetu wataendelea kunyakua mastaa wenu Ila vijana was ghetto Kama wewe hata wafanyeje hawamuwezi binti wa kikenya.
 
Wanaume watanzania mna kipi cha kupea Warembo hata msipokua mabahili? Wasichana wetu wataendelea kunyakua mastaa wenu Ila vijana was ghetto Kama wewe hata wafanyeje hawamuwezi binti wa kikenya.
Wasichana weni are the cheapest in east Africa, may be because they are ugly.
 
Wasichana weni are the cheapest in east Africa, may be because they are ugly.
2154041_IMG_20190904_161436.jpeg
Kama dadako LuluDiva kweli "mrembo" na ana miaka 19 tu!
 
Kupata cheti cha kusoma ni jambo moja na kubadili hicho cheti kuwa mali au fedha ni jambo tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom