njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Inashangaza sana hadi sasa upande ule hawajaona potential ya mropokaji, weka mzigo wa uhakika mezani mpe kazi hiyo ya kuwashambulia M - Bet.
Yule haogopi Rais wa TFF wala waziri wa serikali, akiomba radhi anawakebehi huku akisema kama nimekosea nisameheni.
Mo Dewji alitukanwa na akaufyata, pandeni dau awawsambue M bet kuanzia ofisi yao, logo yao, magari yao, jinsi wanavyovaaa nk , week tu anaiua brand yao.