Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Wewe ndiyo unaona anashushiwa hasira lakini ki uhalisia yanayomkuta ni matokeo ya tabia yake mbaya ya malezi ya ovyo toka utotoni. Pengine nikuulize,Manara ni nani hasa uwanjani,au ndiyo unataka kutuaminisha kuwa Manara ndiyo kafara la Yanga ameshikilia hatma ya mafanikio ya team kiasi kwamba Simba wana hasira nae?Ndiyo ameomba radhi kwa ujinga wake ila ujinga zaidi nikumshushia hasira za kufeli msimu huu.