njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Akili za mashabiki wa Yanga ni kama alivyosema Kiropo waoInashangaza sana hadi sasa upande ule hawajaona potential ya mropokaji, weka mzigo wa uhakika mezani mpe kazi hiyo ya kuwashambulia M - Bet.
Yule haogopi Rais wa TFF wala waziri wa serikali, akiomba radhi anawakebehi huku akisema kama nimekosea nisameheni.
Mo Dewji alitukanwa na akaufyata, pandeni dau awawsambue M bet kuanzia ofisi yao, logo yao, magari yao, jinsi wanavyovaaa nk , week tu anaiua brand yao.
Kwahiyo GSM nao wajiandae siku wakimumwaga anawageuzia kibao.Haji hakutumwa kumtukana mo Bali alifanya vile kwa hasira zake binafsi kwa kuwa alimwagwa kufanya kazi na club anayoipenda kwa dhati. Siku yaja haji atamuomba radhi moo hata akiwa kaburini
Hujamsikia akiomba radhi kwa dharau kwa Waziri wa michezo? Hayo nayo ni machungu ya Simba kuboronga au ni tatizo la mdomo mchafu wa Manara?Machungu ya kuboronga msimu huu mnamuhamishia manara
Ndio ivyo mkuu haji anamwarishia kila anayemwaribia rizki ila kwa sasa ndio anapotea hivyoKwahiyo GSM nao wajiandae siku wakimumwaga anawageuzia kibao.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Tunawachora tu wanavyohangaika kubandua neno SPORTIPESA kwenye jezi zaodah ila ushabiki kazi
Ndiyo ameomba radhi kwa ujinga wake ila ujinga zaidi nikumshushia hasira za kufeli msimu huu.Hujamsikia akiomba radhi kwa dharau kwa Waziri wa michezo? Hayo nayo ni machungu ya Simba kuboronga au ni tatizo la mdomo mchafu wa Manara?
Machungu ya kuboronga msimu huu mnamuhamishia ma
oyaaa kama uko karibu na tarimba muambie ampe deal hilo zeruzeru, week tu anaiua brand ya m-bet jamaa bingwa la matusi lile kuna watu walilipangishia masaki na kulipa vx kwa ajili ya kumtukana mo dewji tuNdiyo ameomba radhi kwa ujinga wake ila ujinga zaidi nikumshushia hasira za kufeli msimu huu.
Mawazao ya kitoto mnoo hayaoyaaa kama uko karibu na tarimba muambie ampe deal hilo zeruzeru, week tu anaiua brand ya m-bet jamaa bingwa la matusi lile kuna watu walilipangishia masaki na kulipa vx kwa ajili ya kumtukana mo dewji tu
HahaaMawazao ya kitoto mnoo haya
Kwa hiyo wanaomlipa hadi sasa kwa kazi ya kumtukana barbara na mo dewji ni watoto?Mawazao ya kitoto mnoo haya