Kwanini wasingizie mimba?

Tunza watoto kama hautaki kumuona. Sheria itakubana
 

hawa wawili nilisepa kiaina awakunifatilia
walikuwa hanipmi walikuwa sirious na ndoa
nakubaliana na ww sitfanya tena peku na taka wakuoa kabisa 2010
 
Tatizo ni uzembe wetu sisi Wanaume kutofuatilia Menstruation Cycle za Wapenzi wetu! Kama unaelewa Menstruation Period yake ni ngumu kukudanganya.

mkuu hizo zinamata zaidi kwa wnyewe kama mwanamke anataka mimba uwezi kukwepa mzee
 
.........Wewe mchafuzi na huna mapenzi ya kweli.
 


Wewe mwenyewe ni sehemu ya tatizo, kwa hiyo wewe u TATIZO. Ni watu wa aina yako, wenye matatizo kama ulivyo tatizo ndiyo wanaosababisha kuongezeka kwa tatizo na ndipo wasichana wanabuni mbinu kujiokoa na tatizo la kuachwa kwenye mataa na watu wenye matatizo kama wewe!
 

Niliambiwa kuna window period.....miezi mitatu bila shaka.Kwa mwaka umepima na wanawake watatu tofauti(in series) mzee,kuna usalama hapo kweli?Au umetumia kipimo gani chenye uhakika kiasi hicho?.....Halafu kama hauko tayari kuoa na/au kupata mtoto kwanini una-do kavukavu?

Mwaka ndio unaanza...azimia na ubadilike.
 
mkuu kavu kavu ni baada ya kupima

Drphone, hesabu ya vipimo kwa mademu 3 ndani ya mwaka ina mushkeli! kama mmoja umekaa naye miezi 6, ikabaki miazi 6 kwa mwaka, theni unapima na kusikilizia miezi 3 unapima tena kama safi kulia na kushoto ndo unavuta barabara. hadi hapo miezi 9 imekata unachukua mwingine naye anaingia kwenye mchakato wa miezi 3, tayari mwaka na hujapiga bado muanzi hadith ya mimba ambayo inahitaji japo wiki 2, kuleta mawingi ya mvua yake.

mkokotoo huu unachukulia kwamba, mahusiano haya yamekuya ya mfululizo- yaani, umepigachini demu tar 30 juni, ukabena wa pili tar 1 julai- kitu ambacho si rahisi kuuunganisha mademu wa3 kwa staili hii.

Anyway, labda unatumia staili ya Bro Zuma, ukipiga lavu, unawahi protex kuua vijimelea.

VITA YA DHID YA VVU, INAONEKANA BAYANA KUWA NGUMU
 

kwakweli nashukuru kwamba nilipipa ktk hilo bonde la mauti salama kwani wote nao walihofia ninao so itifaki zilizingatiwa kwa wote
 

wote tulianza na kinga baada ya itifaki kuzingatiwa ndo tukado dry
 
wanawake wote watatu hawawezi kuwa na tabia moja ya utapeli lazima wewe ndio una tatizo sio mkweli kwao

nikweli wote hawana tabia moja ila hii yakusingizia mimba wote walitumia kwa stail tofauti
kwa kweli mm nilikuwa mkweli kwa kiasi chake kwani akuna aliyenifunga ndomana nimeliweka ata kwa wanajamii
 

nakubaliana na ww kwani umeshauri kutokana na nilivyoeleza ila ukweli utabaki pale pale mi si tatizo kwani nilikuwa mwazi kujieleza ninachataka wao ndo wakataka kwenda mbele zaidi ndipo ninaposepa nikisepa wanatafuta namna ya kunirudisha ila sikuwatafuta kisanii ni kirafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…