Kwanini wasio na elimu wanawachukia wenye elimu?

Kwanini wasio na elimu wanawachukia wenye elimu?

elewa kitu moja.....maisha ni vita...mbinu ya kupambana ni wewe mwenyewe ujipange..kile kipindi cha NMC mikate ya SIHA.......nilikuwa nachukua mikate na baisketi pale tazara now AZAM milling......naenda kuuzia mwenge na lugalo.......kuna wachu walinicheka sana that time....kwa sasa nawachungulia kwa side mirror.....hawaamini kama ni mimi....so blaza piga bodaboda mpaka pumbu zisogee....weka malengo....hao vilaza kaa nao kimahesabu.....
 
% kubwa ya std7 wanabebwa na makafara + chale&mahirizi
 
Issue umesomea nini and unafanyia kazi issue gani so ukiingilia issue za wenye elimu furani tofauti na wao unakuwa unazingua... so kila pahali ni hivyo hivyo. unadegree yako kisha unaenda kupiga kazi na std 7 lazima wakumind, Una elimu yako ya Diploma and unaongoza Shirika la wenye Masters n.k lazima wakumind.. and ubaguzi ni sehemu ya binadamu
 
Watu wengi wakisikia watumishi wanalalamika kuhusu madaraja na kupandishiwa mishahara wanachukia sana kwa kuamini watumishi asilimia kubwa ni watu wasomi hivyo yeye la saba hawezi kuwa mtumishi wa umma hata mei mosi ya mwaka huu kuna upande umefurahi sana kwamba watumishi hawajaongezewa mishahara, jambo la msingi ridhika na ulipo na elimu yako chapa kazi za kukupa ridhiki kutokana na nguvu zako pia ukiona mtu ana degree hata usiumie maana naye kaisotea huko chuo kikuu kweli kweli huwa hazipatikani kirahisa lecturers wanahenyesha wanafunzi sio mchezo, naona hata waheshimiwa pale mjengoni akina ngosha na mwenzake hata walikuwa hawajui wanaongea nini.
 
Back
Top Bottom